orodha kamili ya vyuo vya afya vya serikali nchini Tanzania, kuanzia ngazi za cheti, diploma hadi degree, pamoja na vyuo vya Clinical Officer vinavyoendeshwa na serikali na sifa za kujiunga navyo.
Nafasi ya NACTE katika Orodha ya Vyuo vya Afya vya Serikali Tanzania
Katika mfumo wa elimu ya afya nchini, NACTE ndiyo nguzo inayosimamia ubora na uhalali wa vyuo vya afya vya serikali. Wao hutathmini, kuratibu na kuthibitisha kama chuo kimetimiza viwango vinavyotakiwa kabla kuingizwa kwenye orodha rasmi. Kwa kifupi, chuo cha afya hakiwezi kutambuliwa, kusajili wanafunzi au kutoa programu halali bila kupitishwa na NACTE. Ndiyo mhuri unaoihakikishia jamii kuwa mafunzo yanayotolewa ni sahihi, salama na yanalingana na mahitaji ya kitaaluma ya nchi.
Mambo 5 Muhimu Kabla Hujajiunga na Vyuo vya Afya Tanzania
- Uthibitisho wa usajili wa chuo na NACTE/TCU
- Sifa za kujiunga na kozi unayotaka
- Ada na gharama za jumla za masomo
- Mazingira na miundombinu ya chuo
- Uhalisia wa ajira na fursa baada ya masomo
orodha ya vyuo vinavyotoa kozi za cheti
| Institution Name | Region | District / Council | Phone / Contact |
|---|---|---|---|
| Kilosa Clinical Officers Training Centre | Morogoro | Kilosa DC | 023 262 3226 |
| Kibondo School of Nursing | Kigoma | Kibondo DC | 028 280 087 |
| Kibondo Clinical Officers Training Centre | Kigoma | Kibondo DC | 0717 012 588 |
| Morogoro College of Health Science | Morogoro | Morogoro MC | — |
| Mbeya College of Health and Allied Sciences | Mbeya | Mbeya CC | 0733 867 997 |
orodha ya vyuo vinavyotoa kozi za Astashahada
| Institution Name | Region | District / Council | Contact |
|---|---|---|---|
| Kibaha College of Health and Allied Sciences | Pwani | Kibaha DC | 0754 417 999 |
| Clinical Officers Training Centre – Musoma | Mara | Musoma DC | 028 262 0269 / 0783 992 710 |
| Clinical Officers Training Centre – Kigoma | Kigoma | Kigoma-Ujiji MC | +255 282 802 384 |
| Kilosa Clinical Officers Training Centre | Morogoro | Kilosa DC | 023 262 3226 |
| Mbeya College of Health and Allied Sciences | Mbeya | Mbeya CC | 025 250 0082 / 0733 867 997 |
| Morogoro College of Health Science | Morogoro | Morogoro MC | — |
| Mtwara College of Health and Allied Sciences | Mtwara | Mtwara DC | 0734 670 744 |
| Kibondo Clinical Officers Training Centre | Kigoma | Kibondo DC | 0717 012 588 |
| Kahama School of Nursing | Shinyanga | Kahama TC | — |
Orodha Ya Vyuo Vinavyoa Shahada
| Institution | Region | District / City | Contact |
|---|---|---|---|
| Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) | Dar es Salaam | Ilala MC | 022 215 0302 |
| University of Dodoma (UDOM) – School of Medicine & Nursing | Dodoma | Dodoma MC | 026 231 0000 |
| State University of Zanzibar (SUZA) – School of Health & Medical Sciences | Zanzibar | West B District | 024 223 3337 |
| Mbeya University of Science & Technology (MUST) – Health Dept. | Mbeya | Mbeya CC | 025 250 3014 |
| Mzumbe University – Health Systems Management | Morogoro | Mvomero District | 023 260 4380 |
| Ardhi University – Environmental Health Programmes | Dar es Salaam | Kinondoni MC | 022 277 518 |
Orodha Ya Vyuo Vinavyotoa Shahada Ya uzamili
| Institution | Region | District / City | Contact |
|---|---|---|---|
| Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) | Dar es Salaam | Ilala MC | 022 215 0302 |
| University of Dodoma (UDOM) – School of Medicine / Public Health | Dodoma | Dodoma MC | 026 231 0000 |
| State University of Zanzibar (SUZA) – School of Health & Medical Sciences | Zanzibar | West B District | 024 223 3337 |
| Sokoine University of Agriculture (SUA) – Public Health & Food Safety | Morogoro | Morogoro MC | 023 260 3511 |
| Mzumbe University – Health Systems Management | Morogoro | Mvomero District | 023 260 4380 |
| The Open University of Tanzania (OUT) – Environmental Health / Public Health | Dar es Salaam | Kinondoni MC | 022 266 8992 |
| Ardhi University – Environmental Health Sciences | Dar es Salaam | Kinondoni MC | 022 277 518 |