Ratiba ya Mtihani wa Taifa NECTA Darasa la Nne 2026 Timetable

sfna 2026 timetable

Unatafuta ratiba ya mtihani wa taifa NECTA Darasa la Nne SFNA 2026 timetable? Hapa utapata taarifa muhimu kuhusu sfna 2026 timetable, pamoja na SFNA 2026 timetable pdf link kwa ajili ya kupakua kwa urahisi. Kama mwanafunzi au mzazi unayefuatilia darasa la nne mitihani, makala hii itakusaidia kuelewa vizuri darasa la nne 2026, ikiwa ni pamoja na darasa la nne 2026 ratiba pdf na mwongozo kamili wa ratiba ya darasa la nne 2026 timetable.

IJUE NECTA NA SFNA

NECTA ni kifupi cha National Examinations Council of Tanzania, taasisi ya serikali inayosimamia mitihani ya taifa. Wao huandaa mitihani, kupanga ratiba, kusimamia uendeshaji wake na kutoa matokeo rasmi kwa wanafunzi.

SFNA ni mtihani wa Standard Four National Assessment, yaani mtihani wa darasa la nne. Huu ni mtihani unaolenga kupima uelewa wa msingi wa mwanafunzi katika masomo muhimu kabla hajaendelea na hatua nyingine ya elimu ya msingi.

MAELEKEZO MUHIMU KUHUSU RATIBA YA SFNA 2026

  1. Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Upimaji wa mwaka 2026 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania.
  2. Hakikisha kwamba unasoma jina la somo juu ya bahasha husika na kuthibitisha kuwa somo hilo ndilo linalostahili kufanyika wakati huo kulingana na Ratiba ya Upimaji.
  3. Kabla ya kufungua bahasha, mpe Mwanafunzi asome kwa sauti jina la somo lililoandikwa juu ya bahasha ili kuthibitisha ni somo husika kwa mujibu wa ratiba.
  4. Endapo utata utajitokeza kati ya maelekezo yaliyomo katika Karatasi ya Upimaji na Ratiba ya Upimaji, maelekezo yaliyomo katika karatasi ya upimaji husika ndiyo yatakayofuatwa.
  5. Wanafunzi wenye mahitaji Maalum (Wasioona, Uoni hafifu, Viziwi) waongezewe MUDA WA DAKIKA 20 KWA KILA SAA kwa somo la Hisabati na DAKIKA 10 KWA KILA SAA kwa masomo mengine.
  6. Wanafunzi wenye UONI HAFIFU wapewe karatasi za upimaji zenye maandishi yaliyokuzwa, zilizoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwa matumizi yao.
  7. Wanafunzi waelekezwe;
  • Kuingia ndani ya chumba cha Upimaji nusu saa kabla ya muda wa Upimaji na watakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya Upimaji kuanza hawataruhusiwa.
  • Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa Upimaji.
  • Kuandika jina kamili na namba ya Upimaji kwa usahihi.
  • Kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu katika Upimaji kwani watakaojihusisha matokeo yao yatafutwa.

 

RATIBA YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (STANDARD FOUR NATIONAL ASSESSMENT TIMETABLE) OKTOBA, 2026

sfna 2026 timetable
sfna 2026 timetable

PAKUA RATIBA YA MTIHANI DARASA LA NNE HAPA 2026

DOWNLOAD RATIBA YA MTIHANI SFNA 2026 HAPA

RATIBA YA MTIHANI HAPA

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *