Orodha Ya Vyuo Vya Kati Vya Serikali Tanzania

vyuo vya kati vya serikali

Vyuo vya kati vya serikali vinaendelea kuwa sehemu muhimu kwa wanafunzi wengi wanaotafuta elimu ya uhakika na taaluma zenye fursa kubwa za ajira nchini Tanzania. Kupitia vyuo vya kati Tanzania, wanafunzi wanaweza kusoma kozi mbalimbali katika kada tofauti kulingana na ndoto na malengo yao ya kazi. Katika makala hii utapata orodha ya vyuo vya kati Tanzania pamoja na taarifa za vyuo vya kati Tanzania course offered katika sekta mbalimbali muhimu.

Tutakuletea vyuo vya kati vya ualimu vya serikali, vyuo vya kati vya afya vya serikali, pamoja na vyuo vya kati vya afya Tanzania vinavyotoa kozi za afya na tiba. Pia utaweza kuona vyuo vya kati vya ualimu Tanzania, vyuo vya kati vya serikali course offered kwenye kada ya biashara, sheria na sanaa, pamoja na vyuo vy kati vya serikali kada ya uhandisi kwa wanafunzi wanaopenda teknolojia na ufundi.

Aidha, makala hii itakusaidia kufahamu vyuo vya kati bora Tanzania, maeneo vilipo, pamoja na kozi mbalimbali zinazotolewa ili kukurahisishia kufanya uchaguzi sahihi wa chuo na taaluma unayotaka kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari.

Vyuo Vya Kati Vya Serikali Kada ya Elimu

Na. Jina la Chuo cha Ualimu cha Serikali Wilaya / Halmashauri
1 Bunda Teachers College Bunda
2 Butimba Teachers College Nyamagana
3 Ilonga Teachers College Kilosa
4 Kabanga Teachers College Kasulu
5 Kasulu Teachers College Kasulu
6 Katoke Teachers College Muleba
7 Vikindu Teachers College Mkuranga
8 Tukuyu Teachers College Rungwe
9 Tarime Teachers College Tarime
10 Tabora Teachers College Tabora MC
11 Sumbawanga Teachers College Sumbawanga
12 Songea Teachers College Songea
13 Shinyanga Teachers College Shinyanga
14 Patandi Teachers College Arumeru
15 Ndala Teachers College Nzega
16 Nachingwea Teachers College Nachingwea
17 Mpwapwa Teachers College Mpwapwa
18 Mpuguso Teachers College Rungwe
19 Monduli Teachers College Monduli
20 Mhonda Teachers College Mvomero
21 Marangu Teachers College Moshi Rural
22 Korogwe Teachers College Korogwe
23 Morogoro Teachers College Morogoro
24 Dakawa Teachers College Mvomero
25 Kleruu Teachers College Mafinga
26 Kitangali Teachers College Namtumbo
27 Mamire Teachers College Babati
28 Kinampanda Teachers College Singida
29 Mtwara Teachers College Mtwara
30 Bustani Teachers College Bukoba
31 Murutunguru Teachers College Geita
32 Tandala Teachers College Newala
33 Mandaka Teachers College Kilosa
34 Singachini Teachers College Rombo
35 Nkuruma Mkoka Teachers College Kongwa
36 Bariadi Teachers College Bariadi
37 Mpanda Teachers College Mpanda
38 Singida Teachers College Singida

Vyuo Vya Kati Vya Afya Vya Serikali Kada Ya Afya

Na. Jina la Chuo cha Afya cha Serikali Mahala Kilipo
1 Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Ilala, Dar es Salaam
2 Mbeya College of Health and Allied Sciences Mbeya CC, Mbeya
3 Morogoro College of Health Sciences Morogoro MC, Morogoro
4 Mtwara College of Health and Allied Sciences Mtwara DC, Mtwara
5 Kilosa Clinical Officers Training Centre Kilosa DC, Morogoro
6 Kibondo School of Nursing Kibondo DC, Kigoma
7 Kibondo Clinical Officers Training Centre Kibondo DC, Kigoma
8 Clinical Officers Training Centre – Musoma Musoma DC, Mara
9 Clinical Officers Training Centre – Kigoma Kigoma-Ujiji MC, Kigoma
10 Kahama School of Nursing Kahama TC, Shinyanga
11 Kibaha College of Health and Allied Sciences Kibaha DC, Pwani
12 Tabora College of Health and Allied Sciences Tabora MC, Tabora
13 Biharamulo Health Sciences Training College Biharamulo DC, Kagera
14 Sumbawanga Nursing School Sumbawanga MC, Rukwa
15 Songea School of Nursing Songea MC, Ruvuma
16 Tanga School of Nursing Tanga CC, Tanga
17 Dodoma School of Nursing Dodoma MC, Dodoma
18 Singida School of Nursing Singida MC, Singida
19 Mwananyamala School of Nursing Kinondoni, Dar es Salaam
20 KCMC School of Nursing Moshi, Kilimanjaro
21 Ligula School of Nursing Mtwara MC, Mtwara
22 Tukuyu School of Nursing Rungwe DC, Mbeya
23 Ndanda School of Nursing Masasi DC, Mtwara
24 Peramiho School of Nursing Songea DC, Ruvuma
25 Bugando School of Nursing Nyamagana, Mwanza

Orodha ya Vyuo vya Kati vya Serikali Kada ya Uhandisi Tanzania

Na. Jina la Chuo Mahala Kilipo
1 Dar es Salaam Institute of Technology Dar es Salaam
2 Arusha Technical College Arusha
3 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
4 St. Joseph University in Tanzania Engineering and Technology Dar es Salaam
5 Institute of Construction Technology Morogoro
6 Al-Maktoum College of Engineering and Technology Dar es Salaam
7 Kilimanjaro International Institute for Telecommunications Electronics and Computers Arusha
8 Bandari College Dar es Salaam
9 St. Augustine University of Tanzania Mwanza
10 Dar es Salaam Maritime Institute Dar es Salaam

Orodha ya Vyuo vya Kati vya Serikali Kada ya Biashara

Na. Jina la Chuo cha Serikali Mahala Kilipo
1 College of Business Education (CBE) – Main Campus Dar es Salaam
2 College of Business Education (CBE) – Dodoma Campus Dodoma
3 College of Business Education (CBE) – Mwanza Campus Mwanza
4 College of Business Education (CBE) – Mbeya Campus Mbeya
5 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Main Campus Dar es Salaam
6 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Mbeya Campus Mbeya
7 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Mwanza Campus Mwanza
8 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Singida Campus Singida
9 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Kigoma Campus Kigoma
10 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Mtwara Campus Mtwara
11 Institute of Finance Management (IFM) Dar es Salaam
12 National Institute of Transport (NIT) Dar es Salaam
13 Institute of Accountancy Arusha (IAA) Arusha
14 Moshi Co-operative University (MoCU) Moshi
15 Mzumbe University – Main Campus Morogoro
16 Mzumbe University – Mbeya Campus Mbeya
17 Mzumbe University – Dar es Salaam Campus Dar es Salaam
18 Tanzania Public Service College (TPSC) – Tabora Campus Tabora
19 Tanzania Public Service College (TPSC) – Dar es Salaam Campus Dar es Salaam
20 Tanzania Public Service College (TPSC) – Singida Campus Singida
21 Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) Dar es Salaam
22 Bandari College Dar es Salaam
23 Zanzibar School of Business Zanzibar
24 Agency for Development of Educational Management (ADEM) Bagamoyo
25 Local Government Training Institute (LGTI) Dodoma
26 Institute of Rural Development Planning (IRDP) Dodoma
27 East African Statistical Training Centre (EASTC) Dar es Salaam
28 Mtwara Technical College Mtwara
29 Arusha Technical College (ATC) Arusha
30 Water Institute Dar es Salaam
31 Tanzania Shipping Agencies Corporation Training Centre Dar es Salaam
32 Kigoma Training College Kigoma
33 Mwanza Business College Mwanza
34 Dodoma Business School Dodoma
35 Mbeya Business Institute Mbeya
36 Songea College of Business Studies Songea
37 Tabora Business College Tabora
38 Kigoma College of Business and Logistics Kigoma
39 Singida College of Accountancy and Supply Singida

Vyuo vya Kati Vya Serikali Kada Ya Sheria na Sanaa Tanzania

Na. Jina la Chuo Mahala Kilipo
1 Institute of Judicial Administration (IJA) Lushoto, Tanga
2 Tanzania Public Service College (TPSC) Dar es Salaam
3 Tanzania Public Service College (TPSC) – Tabora Campus Tabora
4 Institute of Accountancy Arusha (IAA) Arusha
5 College of Business Education (CBE) Dar es Salaam
6 College of Business Education (CBE) – Dodoma Campus Dodoma
7 College of Business Education (CBE) – Mwanza Campus Mwanza
8 Mzumbe University Morogoro
9 Local Government Training Institute (LGTI) Dodoma
10 Institute of Rural Development Planning (IRDP) Dodoma
11 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) Dar es Salaam
12 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Mbeya Campus Mbeya
13 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Mwanza Campus Mwanza
14 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Singida Campus Singida
15 Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Kigoma Campus Kigoma
16 Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Dar es Salaam
17 National Institute of Transport (NIT) Dar es Salaam
18 Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) Dar es Salaam
19 East African Statistical Training Centre (EASTC) Dar es Salaam
20 Agency for Development of Educational Management (ADEM) Bagamoyo
21 Bagamoyo School of Arts Bagamoyo
22 TaSUBa – Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Bagamoyo
23 Ardhi Institute Morogoro Centre Morogoro
24 Mtwara Technical College Mtwara
25 Arusha Technical College (ATC) Arusha
26 Water Institute Dar es Salaam
27 Zanzibar School of Law Zanzibar
28 Zanzibar School of Arts Zanzibar
29 Stenographic and Secretarial College Dar es Salaam
30 Nyegezi Social Training Institute Mwanza

Vyuo Vya Kati Vya Serikali Kada Ya Kilimo Na Ufugaji

Na. Jina la Chuo cha Serikali Mahala Kilipo
1 MATI Uyole Mbeya
2 MATI Ilonga Morogoro
3 MATI Mlingano Tanga
4 MATI Tumbi Tabora
5 MATI Igurusi Mbeya
6 MATI Katrin Manyara
7 MATI Ukiriguru Mwanza
8 MATI SARI Arusha
9 Livestock Training Agency (LITA) Buhuri Tanga
10 Livestock Training Agency (LITA) Mpwapwa Dodoma
11 Livestock Training Agency (LITA) Tengeru Arusha
12 Livestock Training Agency (LITA) Morogoro Morogoro
13 Livestock Training Agency (LITA) Kikulula Pwani
14 Livestock Training Agency (LITA) Madaba Ruvuma
15 Livestock Training Agency (LITA) Temeke Dar es Salaam
16 Fisheries Education and Training Agency (FETA) Mwanza
17 Tanzania Fisheries Research Institute Training Centre Kigoma
18 Chuo cha Kilimo Malampaka Simiyu
19 Chuo cha Kilimo Hombolo Dodoma
20 Chuo cha Kilimo Mtwara Mtwara
21 Chuo cha Ufugaji Mabuki Mwanza
22 Chuo cha Ufugaji Kongwa Dodoma
23 Chuo cha Ufugaji Temeke Dar es Salaam
24 Chuo cha Uvuvi Nyegezi Mwanza
25 Chuo cha Kilimo na Mifugo Namtumbo Ruvuma
26 Chuo cha Kilimo na Ufugaji Kilosa Morogoro
27 Chuo cha Kilimo cha Serikali Tumbi Tabora

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *