Tamisemi Selform Change Combination Kidato Cha Tano
Mfumo wa tamisemi selform change combination umeendelea kuwasaidia wanafunzi wa form four na form five kufanya uchaguzi na marekebisho ya tahasusi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo rasmi wa Tamisemi. Kupitia tamisemi selform form five na tamisemi selform form four, wanafunzi wanaweza kufanya tamisemi selform selection, kubadilisha combinations walizochagua pamoja na kurekebisha taarifa muhimu kulingana na…