Mfumo wa Tamisemi Selform System umeendelea kuwasaidia wanafunzi kufanya uchaguzi wa tahasusi, shule na vyuo kwa urahisi zaidi kupitia selform za tamisemi. Kupitia tamisemi selform go tz na tamisemi selform portal, wanafunzi wanaweza kufanya usajili, kubadili taarifa binafsi pamoja na kuchagua combinations mbalimbali kulingana na ufaulu wao wa NECTA.
Katika makala hii, utapata maelezo muhimu kuhusu matumizi ya tamisemi selform mis, namna ya kutumia tamisemi selform login, kufanya tamisemi selform Registration pamoja na hatua za tamisemi selform register kwa usahihi. Pia tutagusia matumizi ya tamisemi selform portal app na jinsi ya kupata huduma mbalimbali kupitia selform tamisemi og tz kwa urahisi zaidi.
Ifahamu selform na matumizi yake kiujumla
Selform ni mfumo wa Tamisemi unaotumiwa na wanafunzi wa form four kufanya uchaguzi wa shule, vyuo na tahasusi za kujiunga nazo baada ya matokeo ya NECTA kutoka. Jukumu lake kuu katika mfumo wa Selform ni kubadilisha baadhi ya taarifa binafsi kama Home Address, Mobile Number na Email Address, pamoja na kufanya uchaguzi wa shule, vyuo na tahasusi mbalimbali kulingana na ufaulu wa mwanafunzi.
Kupitia mfumo huu, wanafunzi wanaweza pia kufanya kubadili combination kwa kidato cha tano, kuchagua tahasusi wanazozipenda, pamoja na kuchagua vyuo vya kati kwa wanafunzi wa kidato cha tano kulingana na matokeo yao na nafasi zilizopo.

Zifahamu combination za kidato cha tano zinazopatikana nchini
Nimekuwekea orodha ya tahasusi(combination) za kidato cha tano ili ufanye uangalifu na kuchagua kilicho bora kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho
Tahasusi za Sayansi ya Jamii
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 1 | History, Geography and Kiswahili (HGK) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 2 | History, Geography and English Language (HGL) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 3 | History, Geography and French (HGF) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 4 | History, Kiswahili and English Language (HKL) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 5 | History, Geography and Economics (HGE) | Awe amefaulu History na Geography | Ualimu, Archeology, Uchumi, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Usanifu Majengo, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Biashara n.k |
| 6 | History, Geography and Arabic (HGAr) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 7 | History, Geography and Chinese (HGCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 8 | History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa) | Awe amefaulu History, Geography na Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 9 | History, Geography and Literature in English (HGLi) | Awe amefaulu History, Geography na Literature in English/English Language | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
Tahasusi za Lugha
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 10 | Kiswahili, English Language and French (KLF) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 11 | Kiswahili, English Language and Arabic (KLAr) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 12 | Kiswahili, English Language and Chinese (KLCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 13 | Kiswahili, Arabic and Chinese (KArCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu n.k |
| 14 | Kiswahili, Arabic and French (KArF) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu n.k |
| 15 | English Language, French and Arabic (LFAr) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 16 | English Language, French and Chinese (LFCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 17 | French, Arabic and Chinese (FArCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 18 | History, English Language and French (HLF) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 19 | History, English Language and Arabic (HLAr) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 20 | Business Studies, English Language and French (BuLF) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce, English Language na French | Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Ugavi, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 21 | French, English Language and Economics (FLE) | Awe amefaulu French na English Language | Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 22 | History, English Language and Chinese (HLCh) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Ugavi, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
Tahasusi ya biashara (Business Studies)
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 23 | Economics, Business Studies and Accountancy (EBuAc) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Book Keeping | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance n.k |
| 24 | Economics, Geography and Mathematics (EGM) | Awe amefaulu Geography na Basic Mathematics | Ualimu, Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi, Urubani, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance, Quantity Surveyor n.k |
| 25 | Economics, Computer Science and Mathematics (ECsM) | Awe amefaulu Computer Science/Information and Computer Studies na Basic Mathematics | Ualimu, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu, Upimaji ardhi, Ukadiriaji majenzi, Usanifu majengo, Ugavi, Mipango, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance, Quantity Surveyor n.k |
| 26 | Business Studies, Accountancy and Computer Science (BuAcCs) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce, Book Keeping na Computer Science/Information and Computer Studies | Ualimu, Biashara, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance n.k |
| 27 | Business Studies, Accountancy and Mathematics (BuAcM) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce, Book Keeping na Basic Mathematics | Ualimu, Biashara, Uchumi, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu n.k |
| 28 | Economics, Business Studies and Elimu ya Dini ya Kiislamu (EBuI) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Elimu ya Dini ya Kiislamu | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance n.k |
| 29 | Economics, Business Studies and Divinity (EBuD) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce, Bible Knowledge na Basic Mathematics | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance n.k |
| 30 | Mathematics, Economics and Business Studies (MEBu) | Awe amefaulu Basic Mathematics na Business Studies/Commerce | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi, Quantity Surveyor, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance n.k |
| 31 | Business Studies, Economics and English Language (BuEL) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce, English Language na Basic Mathematics | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Ukutubi, Utunzaji Kumbukumbu, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Banking and Finance n.k |
| 32 | Business Studies, Economics and Chinese (BuEChi) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Chinese | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Banking and Finance n.k |
| 33 | Business Studies, Economics and Arabic (BuEAr) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Arabic | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Banking and Finance n.k |
| 34 | Business Studies, Economics and French (BuEF) | Awe amefaulu Business Studies/Commerce na French | Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance, Diplomasia, Uthamini majengo na ardhi n.k |
Tahasusi za Sayansi
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 35 | Physics, Chemistry and Mathematics (PCM) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uhandisi, Ufamasia, Urubani, Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Teknolojia ya Maabara, Mipango, Uthamini majengo na ardhi, Takwimu n.k |
| 36 | Physics, Chemistry and Biology (PCB) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uhandisi, Udaktari, Uuguzi, Ufamasia, Teknolojia ya Maabara, Urubani, Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi n.k |
| 37 | Physics, Geography and Mathematics (PGM) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia, Unajimu, Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Takwimu, Uhasibu, Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi n.k |
| 38 | Physics, Mathematics and Computer Science (PMCs) | Awe amefaulu Physics, Basic Mathematics na Computer Science/Information and Computer Studies | Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia, TEHAMA, Utabiri wa Hali ya Hewa, Takwimu, Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi n.k |
| 39 | Chemistry, Biology and Agriculture (CBA) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Kilimo, Uhandisi, Udaktari wa mifugo, Teknolojia ya Maabara, Ugavi, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi n.k |
| 40 | Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition (CBN) | Awe amefaulu Chemistry, Biology na Food and Human Nutrition/Food and Nutrition | Ualimu, Afya, Teknolojia ya Maabara, Chakula na Lishe n.k |
| 41 | Chemistry, Biology and Geography (CBG) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi n.k |
| 42 | Agriculture, Biology and Economics (ABE) | Awe amefaulu Agriculture, Biology na Basic Mathematics | Ualimu, Kilimo, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi n.k |
Tahasusi za Muziki
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 43 | Music, Arabic and English Language (MuArL) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 44 | Fasihi ya Kiswahili, Chinese and Music (FaChMu) | Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Music | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 45 | French, English Language and Music (FLMu) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 46 | Kiswahili, English Language and Music (KLMu) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 47 | English Language, Chinese and Music (LChMu) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
Tahasusi za Michezo
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 48 | Biology, Food and Human Nutrition and Sports (BNS) | Awe amefaulu Biology, Food and Human Nutrition na Sports/Physical Education | Ualimu, Michezo, Afya, Chakula na Lishe, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 49 | Sports, Arabic and English Language (SArL) | Awe amefaulu Sports/Physical Education, Arabic na English Language | Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 50 | Fasihi ya Kiswahili, English Language and Sports (FaLS) | Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Sports/Physical Education | Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 51 | French, English Language and Sports (FLS) | Awe amefaulu French, English Language na Sports/Physical Education | Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 52 | Kiswahili, English Language and Sports (KLS) | Awe amefaulu Kiswahili, English Language na Sports/Physical Education | Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 53 | English Language, Chinese and Sports (LChS) | Awe amefaulu English Language, Chinese na Sports/Physical Education | Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
Tahasusi za Sanaa
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 54 | Kiswahili, English Language and Theatre Arts (KLT) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 55 | Kiswahili, French and Theatre Arts (KFT) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 56 | Fasihi ya Kiswahili, English Language and Theatre Arts (FaLT) | Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Theatre Arts | Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 57 | Kiswahili, Literature in English and Theatre Arts (KLiT) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 58 | Kiswahili, French and Music (KFMu) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 59 | Fasihi ya Kiswahili, English Language and Music (FaLMu) | Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Music | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 60 | Kiswahili, Literature in English and Music (KLiMu) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 61 | Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 62 | Kiswahili, French and Fine Art (KFFi) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 63 | Fasihi ya Kiswahili, English Language and Fine Art (FaLFi) | Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Fine Art | Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 64 | Kiswahili, Literature in English and Fine Art (KLiFi) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 65 | Kiswahili, Textile and Garment Construction and Fine Art (KTeFi) | Awe amefaulu Kiswahili, Textile and Garment Construction/Textile and Dress Making na Fine Art | Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia na Sosholojia n.k |
| 66 | English Language, Textile and Garment Construction and Fine Art (LTeFi) | Awe amefaulu English Language, Textile and Garment/Textile and Dress Making na Fine Art | Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 67 | Arabic, Textile and Garment Construction and Fine Art (ArTeFi) | Awe amefaulu Arabic, Textile and Garment Construction/Textile and Dress Making na Fine Art | Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 68 | Chinese, Textile and Garment Construction and Fine Art (ChiTeFi) | Awe amefaulu Chinese, Textile and Garment Construction/Textile and Dress Making na Fine Art | Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
Tahasusi za Elimu ya Dini
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 69 | Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Geography (IHG) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 70 | Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Arabic (IHAr) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 71 | Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and English Language (IHL) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 72 | Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Kiswahili (IHK) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 73 | Elimu ya Dini ya Kiislamu, Kiswahili and English Language (DKL) | Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi | Ualimu, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 74 | Divinity, History and Geography (DHG) | Awe amefaulu Bible Knowledge, History na Geography | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 75 | Divinity, History and English Language (DHL) | Awe amefaulu Bible Knowledge, History na English Language | Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 76 | Divinity, History and Kiswahili (DHK) | Awe amefaulu Bible Knowledge, History na Kiswahili | Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
| 77 | Divinity, Kiswahili and English Language (DKL) | Awe amefaulu Bible Knowledge, History na English Language | Ualimu, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k |
Tahasusi za Utalii
| Na. | Tahasusi | Vigezo | Kada Tarajiwa |
| 78 | Geography, Tourism and Kiswahili (GTK) | Awe amefaulu Geography na Kiswahili | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 79 | Geography, Tourism and English Language (GTL) | Awe amefaulu Geography na English Language | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 80 | Geography, Tourism and French (GTF) | Awe amefaulu Geography na French | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 81 | Geography, Tourism and Arabic (GTAr) | Awe amefaulu Geography na Arabic | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 82 | Geography, Tourism and Chinese (GTChi) | Awe amefaulu Geography na Chinese | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 83 | History, Tourism and Kiswahili (HTK) | Awe amefaulu History na Kiswahili | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 84 | History, Tourism and English Language (HTL) | Awe amefaulu History na English Language | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 85 | History, Tourism and French (HTF) | Awe amefaulu History na French | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 86 | History, Tourism and Arabic (HTA) | Awe amefaulu History na Arabic | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 87 | History, Tourism and Chinese (HTC) | Awe amefaulu History na Chinese | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
| 88 | Tourism, English Language and French (TLF) | Awe amefaulu English Language na French | Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k |
One thought on “Tamisemi Selform System Kwa Kidato Cha Tano Na Vyuo”